Description
Samad anapenda kwenda nje. Ndoto yake ilikua kutumia siku yake yote jangwani na kuogelea katika chemchemi. Mfuate Samad anapoanza safari hii ambapo anapata marafiki wa ajabu na uvumbuzi wa kushangaza. Safari yake kwenda jangwani ni ya kusisimua sana.