Samad Msituni / in the forest

KSh 250.00

Description

Samad aliwapenda wanyama. Alikuwa na ndoto ya kukaa siku nzima msituni na kulala katika nyumba iliyo juu ya mti. Mfuate Samad alipoanza safari yake ya matukio alipokutana na marafiki wazuri na kugundua mambo ya ajabu. Aliona raha kubwa alipokwenda msituni.

Additional information

Authors Mohammed Umar
Language English
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966140135