Shujaa Meta na Hadithi Nyingine

KSh 250.00

Description

Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Nne na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: Ushauri Nasaha Bendera ya Taifa Matunda na Mimea Wanyama wa Porini

Additional information

Authors Pauline Kea
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966141378