Description
Sifuri amechoshwa na mazingira katika bustani ya Zoo ambako wanyama mbalimbali wamehifadhiwa ili kuepushwa na makali ya ukame unaojiri. Anaomba ruhusa ya kwenda mjini kutembea. Je, ziara yake itakuwa ya mafanikio? Soma hadithi kwa vioja anavyovifanya Sifuri mjini!