KSh 250.00
Hii ni hadithi inayoangazia suala ya ufisadi. Wananchi wanaandamana kuupinga ufisadi. Vijana wanaoshuhudia maandamano wanamuuliza mwanaharakati wa kupambana na ufisadi maswali. Soma hadithi ujue waliyojifunza.