Simba Mwanadamu na Hadithi Nyingine

KSh 250.00

Description

Simba Mwanadamu ni hadithi ya kumsisimua, kumchekesha na kumburudisha msomaji. Ni hadithi inayodhihirisha ukweli wa methali kuwa njia ya mwongo ni fupi. Aidha, hadithi hii inatoa funzo kwa msomaji kuwa hila zina mwisho wake ambao si mzuri. Hadithi hii ni mojawapo ya hadithi katika mkusanyiko wa hadithi zenye uwezo wa kumgandisha msomaji kwenye kiti akisoma tena na tena.

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966141439