Simu na simu ya mama na hadithi nyingine

KSh 250.00

Description

Je, umewahi soma hadithi na mwishowe ukaishia kujiramba vidole? Je, umewahi soma hadithi na mwishowe ukatamani ucheke, ila ukalia na ulipotamani kulia ukajipata ukicheka? Hapa kuna fursa nyingine ya kuzisoma hadithi kumi na mbili ambazo kwa kweli zinavu_a kwa namna zilivyoandikwa. Hadithi zote zinakulenga wewe msomaji unayetaka kujua siri ya Mlevi Mwerevu ilikuwa gani, mwisho wa masaibu ya Kinondo na mengine mengi. Jipa_e nakala ya leo ufurahie utamu huu.

Additional information

Authors Maina Dominic Oigo
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966140050