Siri ya Baba Yangu Kitabu cha Kwanza

KSh 250.00

Description

Ni wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili. Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo kwa kujiingiza katika hatari zisizo kifani. Hii ni mojawapo ya hadithi ambayo imefumwa ikafumika mfumo ambao utamshangaza yeyote atakayeisoma.

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966075604