Description
Hadithi hii inazungumzia Fadhili ambaye amefanikiwa kuungana na baba yake mzazi. Ni mtu mwenye heshima na hadhi katika jamii, mtu anayesifiwa sifa zisizo za kawaida. Fadhili anatilia shaka sifa hizi na pindi wanaposafiri hadi pwani ndipo kiu ya kujua ukweli inapomzidia. Soma hadithi hii upate kujua siri ambayo Fadhili anaigundua kuhusu baba yake.