Sofia na Mbwa Wake na Hadithi Nyingine

KSh 250.00

Description

Sofia ni mtoto anayependa kuwatunza na kuwalinda wanyama wa nyumbani. Hadithi hii inaeleza jinsi Sofia anajitolea kumtunza mbwa anayepewa na mjomba wake. Kwa usaidizi wa wazazi wake, Sofia anampa mbwa wake matunzo mazuri yanayoifanya afya ya mbwa huyu kuwa bora zaidi. Ni kitabu kinachojumuisha hadithi nyingine zenye msisimko wa aina yake. Tujifunze Pamoja ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mtalaa wa umilisi. Lengo la msururu huu ni kumwezesha mwanafunzi kupata ujuzi wa kuimarisha stadi ya kusoma, kukuza maadili yake na kumsaidia katika kufanya maamuzi ya busara maishani

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966141392