Tausi na Majuto katika Safari ya Mabwe

KSh 250.00

Description

Tausi na nduguye Majuto ambao ni machokoraa wanagundua chombo cha ajabu kwenye biwi la taka. Wanapoingia ndani hawatoki tena. Wanatekwa nyara na viumbe wa ajabu na safari ya Mabwe inaanza, safari ya kuelekea sayari ya Mirihi. Je vijana hawa watafanikiwa kurejea duniani? Safari ya Mabwe ni hadithi ambayo imesukwa kwa utaalamu usio kifani. Hebu fungua ukurasa wa kwanza uanze kusoma.

Additional information

Authors Karang'ae Chege
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN ISBN 9789966075543