Description
Kitabu hiki kinamwezesha wanafunzi kuwa na ubora wa kuandika maneno vizuri, kuchora picha, kutambua sehemu za mwili, maamkuzi, kusoma sentensi miongoni mwa mengine ambayo yataimarisha usomaji na utamshi wa maneno kwa mwanafunzi wa kiwango hiki.