Description
Hii ni moja ya hadithi katika msururu wa Elimu na Bidii. Msururu huu unaangazia masuala ya elimu na jinsi ya kutuza wanaofanya vyema shuleni. Lengo la hadithi hii ni kuwatia motisha wanafunzi ili waelewe faida au umuhimu wa kutia bidii masomoni, pamoja na hasara za kutotia bidii.