Ushindi wa Kironje na hadithi nyingine

KSh 250.00

Description

Huu ni mkusanyiko wa hadithi kumi na mbili, zenye mafunzo sufufu katika jamii ya leo. Ni hadithi ambazo zitakufanya uache kula pilau kwa samaki ili uzisome kwanza! Utakapokuwa ukizisoma, zitakufanya usahau ulikuwa na mlo mezani kutokana na ucheshi uliomo. Hadithi hizi zinanuia kuwafundisha wanafunzi maadili ili wajenge mustakabali.

Additional information

Authors Maina Dominic Oigo
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966140067