KSh 250.00
Sofi ni msichana ambaye kuzaliwa kwake ni kwa ajabu. Anakutana na hatari kwenye ulimwengu wa watu katili. Wema wa Sofi na hadithi nyingine ni kitabu chenye hadithi za kuvutia na kusisimua.