Description
Zuhura na Zahara ni pacha wanaofanana sana.Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani. Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi.Ni lazima binti mmoja katika milki ya Tunu aipate dawa hiyonadimu ili mwana wa mfalme apone. Soma hadithi hii ili ujue atakaye pata dawa.