Description
Hadithi hii inazungumzia maisha halisi ya mwandishi katika utoto na ukuaji wake. Akiwa mdogo yeye ndugu zake ni wajeuri wasiopenda kuoga na wasumbufu walivyo watoto wengine wa umri mdogo katika jamii. Umaskini unawasakam mwandishi na familia yake. Baadaye mwandishi anafanikiwa kupata ajira. Soma hadithi hii upate utamu ulio ndani.